Zijue simu za smart kitochi toka Vodacom na Tigo kwa undani

  Smart kitochi ndio habari kubwa kwenye upande wa matangazo ya simu za mkononi. Tumeshuhudia mitandao mikubwa Tanzania Tigo na Vodacom wakipigana vikumbo kuhakikisha wanashawishi wateja wao kununua simu hizo.

Smart  Kitochi ni nini?

Hizi ni simu mpya ndogo maarufu kama vitochi au batani,zimekuw3a smart sababu zimeongezewa vionjo na kuwa kama simu janja yani zina mtandao wa kasi wa 4G,zina apps tumizi kama WhatsApp, Facebook,YouTube na baadhi ya huduma za Google.

Je zinaendeshwa android?
Jibu ni hapana. Hizi Smart Kitochi zinatumia mfumo wa KaiOS(tutawaletea makala yake baadae) Tanzania siyo nchi ya kwanza kuwa na hizi simu, zinapatikana pia Ulaya,Asia,Amerika na hapa Afrika kwa wingi zaidi.

SIFA MUHIMU ZA SMART KITOCHI

  • Mtandao 3G,4G/LTE
  • Diski ujazo 4GB
  • Ram MB 520
  • Betri 1400mAh
  • Simcard mbili
  • Ina Wi-Fi
  • Ina hotspot


Bei yake kwa Vodacom ni 48,000 nunua hapa
Kwa Tigo ni 49,000 nunua hapa

Karibu telegram kwenye group letu smatskills


Comments

Popular posts from this blog

How To Make Telegram File Sharing Bot

How To Create Friendly Telegram Userbot [FTG User bot]