Hii ndio Android 9.0(Pie) ikiwa imerahisishwa zaidi

Muda unasonga na teknolojia inasonga pia,kila kukicha kuna maboresho mapya kwenye teknolojia. Hii inawafanya Google kuifanya programu yao endeshi Android kuwa bora na rahisi kila mara. Katika picha ni baadhi ya tofauti na urahisi kwenye toleo la 9.0 yaani Pie.
Hizi zimezoeleweka

Hizi ni mfumo wa kawaida lakini zimejificha (hiden)

Kwa kuona zaidi na jinsi unavyoweza kutumia kwenye simu yako angalia video hii




Comments

Popular posts from this blog

How To Make Telegram File Sharing Bot

How To Create Friendly Telegram Userbot [FTG User bot]